Nehemiah 12:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makuhani na Walawi walijitakasa, pia waliwatakasa watu, malango na ukuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makuhani na Walawi walipokuwa wamekwisha kujitakasa kulingana na desturi, waliwatakasa watu, malango na ukuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makuhani na Walawi wakajitakasa, nao wakawatakasa watu, na malango, na ukuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makuhani na Walawi walijitakasa, pia waliwatakasa watu, malango na ukuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati makuhani na Walawi walipokuwa wamekwisha kujitakasa kwa kufuatana na desturi, waliwatakasa watu, malango na ukuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati makuhani na Walawi walipokuwa wamekwisha kujitakasa kwa kufuatana na desturi, waliwatakasa watu, malango na ukuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makuhani na Walawi wakajitakasa, nao wakawatakasa watu, na malango, na ukuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makuhani na Walawi walijitakasa, pia waliwatakasa watu, malango na ukuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watambikaji na Walawi walipokwisha kujitakasa, wakawatakasa watu na malango na boma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makuhani na Walawi wakajitakasa, nao wakawatakasa watu, na malango, na ukuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makuhani na Walawi wakajitakasa, vilevile wakatakasa watu, milango na ukuta.