Nehemiah 12:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waimbaji hao walifuatiwa na Hoshaya akiwa pamoja na nusu ya viongozi wa Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hoshaya na nusu ya viongozi wa Yuda wakawafuata,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na baada yao wakaenda Hoshaya, na nusu ya wakuu wa Yuda,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waimbaji hao walifuatiwa na Hoshaya akiwa pamoja na nusu ya viongozi wa Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hoshaya na nusu ya viongozi wa Yuda wakawafuata,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hoshaya na nusu ya viongozi wa Yuda wakawafuata,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na baada yao wakaenda Hoshaya, na nusu ya wakuu wa Yuda,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waimbaji hao walifuatiwa na Hoshaya akiwa pamoja na nusu ya viongozi wa Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyuma yao wakafuata Hosaya na nusu ya wakuu wa Yuda:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na baada yao wakaenda Hoshaya, na nusu ya wakuu wa Yuda,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waimbaji hao walifuatwa na Hosaya akiwa pamoja na nusu ya viongozi wa Yuda.