Nehemiah 12:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu zake wafuatao waliimba kwa ala za muziki za mfalme Daudi, mtu wa Mungu, yaani Shemaya, Azareli, Milalai, Gilalai, Maai, Nethaneli, Yuda na Hanani, walitanguliwa na Ezra mwandishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pamoja na wenzake, Shemaya, Azareli, Milalai, Gilalai, Maai, Nethaneli, Yuda na Hanani, wakiwa na vyombo vya uimbaji, kama ilivyoagizwa na Daudi mtu wa Mungu. Mwandishi Ezra aliongoza maandamano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ndugu zake, Shemaya, Azareli, Milalai, Gilalai, Maai, Nethaneli, Yuda, na Hanani, wenye vinanda vya Daudi mtu wa Mungu; Ezra, mwandishi, akawatangulia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu zake wafuatao waliimba kwa ala za muziki za mfalme Daudi, mtu wa Mungu, yaani Shemaya, Azareli, Milalai, Gilalai, Maai, Nethaneli, Yuda na Hanani, walitanguliwa na Ezra mwandishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na wenzao, Shemaya, Azareli, Milalai, Gilalai, Maai, Nethaneli, Yuda na Hanani wakiwa na vyombo vya uimbaji, kama ilivyoagizwa na Daudi mtu wa Mungu. Mwandishi Ezra aliongoza maandamano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pamoja na wenzake, Shemaya, Azareli, Milalai, Gilalai, Maai, Nethaneli, Yuda na Hanani, wakiwa na vyombo vya uimbaji, kama ilivyoagizwa na Daudi mtu wa Mungu. Mwandishi Ezra aliongoza maandamano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ndugu zake, Shemaya, Azareli, Milalai, Gilalai, Maai, Nethaneli, Yuda, na Hanani, wenye vinanda vya Daudi mtu wa Mungu; Ezra, mwandishi, akawatangulia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu zake wafuatao waliimba kwa ala za muziki za mfalme Daudi, mtu wa Mungu, yaani Shemaya, Azareli, Milalai, Gilalai, Maai, Nethaneli, Yuda na Hanani, walitanguliwa na Ezra mwandishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na ndugu zake: Semaya na Azareli, Milalai, Gilalai, Maai, Netaneli na Yuda na Hanani wakishika vyombo vya kuimbia vya Dawidi aliyekuwa mtu wa Mungu, naye mwandishi Ezera akawatangulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ndugu zake, Shemaya, Azareli, Milalai, Gilalai, Maai, Nethaneli, Yuda, na Hanani, wenye vinanda vya Daudi mtu wa Mungu; Ezra, mwandishi, akawatangulia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndugu zake hawa waliimba kwa ala za muziki za mufalme Daudi, mutu wa Mungu, ni kusema Semaya, Azareli, Milalayi, Gilalayi, Maayi, Netaneli, Yuda na Hanani, wakatanguliwa na Ezra mwandishi.