Nehemiah 12:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hata na makuhani waliokuwa na tarumbeta: Eliakimu, Maaseya, Miniamini, Mikaya, Eliehoenai, Zekaria na Hanania.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na makuhani wafuatao: Eliakimu, Maaseya, Miniamini, Mikaya, Elioenai, Zekaria na Hanania wakiwa na tarumbeta zao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na makuhani, Eliakimu, Maaseya, Miyamini, Mikaya, Elioenai, Zekaria na Hanania, wenye baragumu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hata na makuhani waliokuwa na tarumbeta: Eliakimu, Maaseya, Miniamini, Mikaya, Eliehoenai, Zekaria na Hanania.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na makuhani wafuatao: Eliyakimu, Maaseya, Miniamini, Mikaya, Elioenai, Zekaria na Hanania wakiwa na tarumbeta zao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na makuhani wafuatao: Eliakimu, Maaseya, Miniamini, Mikaya, Elioenai, Zekaria na Hanania wakiwa na tarumbeta zao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na makuhani, Eliakimu, Maaseya, Miyamini, Mikaya, Elioenai, Zekaria na Hanania, wenye baragumu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hata na makuhani waliokuwa na tarumbeta: Eliakimu, Maaseya, Miniamini, Mikaya, Eliehoenai, Zekaria na Hanania.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, yalipolia matarumbeta ya watambikaji Eliakimu, Masea, Minyamini, Mikaya, Eliyoenai, Zakaria na Hanania.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na makuhani, Eliakimu, Maaseya, Miyamini, Mikaya, Elioenai, Zekaria na Hanania, wenye baragumu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hata na makuhani waliokuwa na baragumu: Eliakimu, Maseya, Miniamini, Mikaya, Eliyoenayi, Zakaria na Hanania.