Nehemiah 12:45 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa sababu walifanya ibada ya Mungu wao na ibada ya utakaso, kama waimbaji walivyoimba hata walinzi wa malango kulingana na agizo la mfalme Daudi na Mfalme Solomoni mwanawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walifanya ibada ya Mungu wao na ibada ya utakaso, nao waimbaji na walinzi wa lango wakafanya hivyo pia, kufuatana na amri za Daudi na Sulemani mwanawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakauangalia ulinzi wa Mungu wao, na ulinzi wa kutakasika, na hao waimbaji na mabawabu vile vile, sawasawa na amri ya Daudi, na ya Sulemani mwanawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa sababu walifanya ibada ya Mungu wao na ibada ya utakaso, kama waimbaji walivyoimba hata walinzi wa malango kulingana na agizo la mfalme Daudi na Mfalme Solomoni mwanawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walifanya ibada ya Mungu wao na ibada ya utakaso, waimbaji na walinzi wa lango walifanya hivyo pia, kufuatana na amri za Daudi na Solomoni mwanawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walifanya ibada ya Mungu wao na ibada ya utakaso, nao waimbaji na walinzi wa lango wakafanya hivyo pia, kufuatana na amri za Daudi na Sulemani mwanawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakauangalia ulinzi wa Mungu wao, na ulinzi wa kutakasika, na hao waimbaji na mabawabu vile vile, sawasawa na amri ya Daudi, na ya Sulemani mwanawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa sababu walifanya ibada ya Mungu wao na ibada ya utakaso, kama waimbaji walivyoimba hata walinzi wa malango kulingana na agizo la mfalme Daudi na Mfalme Solomoni mwanawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakalinda ulinzi wa Mungu wao na ulinzi wa matakaso, nao waimbaji na walinda malango wakazishika zamu zao, kama Dawidi na mwanawe Salomo walivyoviagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakauangalia ulinzi wa Mungu wao, na ulinzi wa kutakasika, na hao waimbaji na mabawabu vile vile, sawasawa na amri ya Daudi, na ya Sulemani mwanawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa sababu walifanya ibada ya Mungu wao na ibada ya utakaso, kama vile waimbaji walivyoimba hata walinzi wa milango kulingana na agizo la mufalme Daudi na mwana wake Solomono.