Nehemiah 13:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika siku hiyo ya sherehe, kitabu cha Mose kilisomwa na ilifahamika kuwa Waamoni na Wamoabu kamwe wasiingie katika mkutano wa watu wa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hiyo, Kitabu cha Musa kilisomwa kwa sauti kuu, na watu wote wakasikia. Humo ilionekana imeandikwa kwamba hakuna Mwamoni wala Mmoabu atakayeruhusiwa katika kusanyiko la watu wa Mungu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku hiyo walisoma katika kitabu cha Musa masikioni mwa watu; na ndani yake yalionekana maneno haya yameandikwa, ya kwamba Mwamoni na Mmoabi wasiingie katika kusanyiko la Mungu milele;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika siku hiyo ya sherehe, kitabu cha Mose kilisomwa na ilifahamika kuwa Waamoni na Wamoabu kamwe wasiingie katika mkutano wa watu wa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku hiyo kitabu cha Mose kilisomwa kwa sauti kuu na watu wote wakasikia. Humo ilionekana imeandikwa kwamba hakuna Mwamori wala Mmoabi atakayeruhusiwa katika kusanyiko la watu wa Mungu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku hiyo, Kitabu cha Musa kilisomwa kwa sauti kuu, na watu wote wakasikia. Humo ilionekana imeandikwa kwamba hakuna Mwamoni wala Mmoabu atakayeruhusiwa katika kusanyiko la watu wa Mungu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku hiyo walisoma katika kitabu cha Musa masikioni mwa watu; na ndani yake yalionekana maneno haya yameandikwa, ya kwamba Mwamoni na Mmoabi wasiingie katika kusanyiko la Mungu milele;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika siku hiyo ya sherehe, kitabu cha Mose kilisomwa na ilifahamika kuwa Waamoni na Wamoabu kamwe wasiingie katika mkutano wa watu wa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo, watu waliposomewa masikioni pao yaliyoandikwa katika kitabu cha Maonyo, pakaoneka palipoandikwa kwamba: Kale na kale asije Mwamoni wala Mmoabu kuuingia mkutano wa Mungu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku hiyo walisoma katika kitabu cha Musa masikioni mwa watu; na ndani yake yalionekana maneno haya yameandikwa, ya kwamba Mwamoni na Mmoabi wasiingie katika kusanyiko la Mungu milele;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku ile ya sherehe, kitabu cha Musa kikasomwa na ikajulikana kwamba Waamoni na Wamoabu hawaruhusiwi kuingia katika mukutano wa watu wa Mungu.