Nehemiah 13:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena nikagundua kuwa Walawi hawakupewa haki zao; na matokeo yake ni kwamba Walawi na waimbaji waliokuwa wakifanya kazi hapo awali, sasa walikwisha rudia mashamba yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia niligundua kuwa mafungu yaliyopangwa kupewa Walawi hawakuwa wamepewa, nao Walawi wote na waimbaji waliowajibika kwa huduma walikuwa wamerudi katika mashamba yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena nikaona ya kwamba Walawi hawakupewa sehemu zao; basi wamekimbia Walawi na waimbaji, waliofanya kazi, kila mtu shambani kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena nikagundua kuwa Walawi hawakupewa haki zao; na matokeo yake ni kwamba Walawi na waimbaji waliokuwa wakifanya kazi hapo awali, sasa walikwisha rudia mashamba yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia niligundua kuwa mafungu yaliyopangwa kupewa Walawi hawakuwa wamepewa, pia Walawi wote na waimbaji waliowajibika kwa huduma walikuwa wamerudi katika mashamba yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia niligundua kuwa mafungu yaliyopangwa kupewa Walawi hawakuwa wamepewa, nao Walawi wote na waimbaji waliowajibika kwa huduma walikuwa wamerudi katika mashamba yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena nikagundua kwamba Walawi hawakupewa sehemu zao; Hivyo Walawi na waimbaji walioongoza ibada, kila mtu amerudi shambani mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena nikagundua kuwa Walawi hawakupewa haki zao; na matokeo yake ni kwamba Walawi na waimbaji waliokuwa wakifanya kazi hapo awali, sasa walikwisha rudia mashamba yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikajulishwa, ya kuwa Walawi hawakupewa mafungu yao yawapasayo; kwa hiyo Walawi na waimbaji waliofanya kazi za Mungu walikuwa wamekimbilia kila mtu shamba lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena nikaona ya kwamba Walawi hawakupewa sehemu zao; basi wamekimbia Walawi na waimbaji, waliofanya kazi, kila mtu shambani kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena nikagundua kwamba Walawi hawakupewa haki zao; na matokeo yake ni kwamba Walawi na waimbaji waliokuwa wakifanya kazi pale mbele, sasa walikwisha kurudilia mashamba yao.