Nehemiah 13:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikawakemea viongozi, nikasema, “Kwa nini nyumba ya Mungu imeachwa?” Niliwakusanya pamoja na kuwarudisha kazini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi niliwakemea maafisa na kuwauliza, “Kwa nini nyumba ya Mungu imepuuzwa?” Kisha niliwaita pamoja na kuwaweka kwenye nafasi zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikagombana na mashehe, nikasema, Mbona nyumba ya Mungu imeachwa? Kisha nikawakusanya, nikawaweka mahali pao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikawakemea viongozi, nikasema, “Kwa nini nyumba ya Mungu imeachwa?” Niliwakusanya pamoja na kuwarudisha kazini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi niliwakemea maafisa na kuwauliza, “Kwa nini nyumba ya Mungu imepuuzwa?” Kisha niliwaita pamoja na kuwaweka kwenye nafasi zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi niliwakemea maafisa na kuwauliza, “Kwa nini nyumba ya Mungu imepuuzwa?” Kisha niliwaita pamoja na kuwaweka kwenye nafasi zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikagombana na viongozi, nikasema, Mbona nyumba ya Mungu imeachwa? Kisha nikawakusanya, nikawaweka mahali pao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikawakemea viongozi, nikasema, “Kwa nini nyumba ya Mungu imeachwa?” Niliwakusanya pamoja na kuwarudisha kazini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nilipowagombeza watawalaji na kuwauliza: Mbona Nyumba ya Mungu imeachwa hivyo? Nikawakusanya, nikawaweka tena mahali pao pa utumishi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikagombana na mashehe, nikasema, Mbona nyumba ya Mungu imeachwa? Kisha nikawakusanya, nikawaweka mahali pao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikawakaripia viongozi, nikisema: “Kwa nini nyumba ya Mungu imeachwa?” Nikawakusanya pamoja na kuwarudisha katika kazi.