Nehemiah 13:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, watu wote wa Israeli, wakaanza tena kuleta zaka zao za nafaka, divai na mafuta kwenye ghala.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yuda wote walileta zaka za nafaka, divai mpya na mafuta kwenye ghala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yuda wote walipoleta zaka za nafaka, na mvinyo, na mafuta, kwenye hazina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, watu wote wa Israeli, wakaanza tena kuleta zaka zao za nafaka, divai na mafuta kwenye ghala.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yuda wote walileta zaka za nafaka, divai mpya na mafuta kwenye ghala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yuda wote walileta zaka za nafaka, divai mpya na mafuta kwenye ghala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yuda wote walipoleta zaka za nafaka, na mvinyo, na mafuta, kwenye hazina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, watu wote wa Israeli, wakaanza tena kuleta zaka zao za nafaka, divai na mafuta kwenye ghala.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayuda wote walipoyaleta tena mafungu ya kumi: ngano na mvinyo mbichi na mafuta na kuyaweka penye vilimbiko,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yuda wote walipoleta zaka za nafaka, na mvinyo, na mafuta, kwenye hazina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, watu wote wa Israeli, wakaanza tena kuleta zaka zao za unga, divai na mafuta kwenye gala.