Nehemiah 13:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikawakemea viongozi wa watu wa Yuda, nikisema, “Uovu gani huu mnaofanya, kuikufuru Sabato?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliwakemea wakuu wa Yuda na kuwaambia, “Ni uovu gani huu mnaofanya wa kuinajisi siku ya Sabato?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikagombana na wakuu wa Yuda, nikawaambia, Ni neno baya gani hili mnalofanya ninyi, na kuinajisi siku ya sabato?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikawakemea viongozi wa watu wa Yuda, nikisema, “Uovu gani huu mnaofanya, kuikufuru Sabato?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliwakemea wakuu wa Yuda na kuwaambia, “Ni uovu gani huu mnaofanya kuinajisi siku ya Sabato?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliwakemea wakuu wa Yuda na kuwaambia, “Ni uovu gani huu mnaofanya wa kuinajisi siku ya Sabato?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikagombana na wakuu wa Yuda, nikawaambia, Ni neno baya gani hili mnalofanya ninyi, na kuinajisi siku ya sabato?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikawakemea viongozi wa watu wa Yuda, nikisema, “Uovu gani huu mnaofanya, kuikufuru Sabato?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikawagombeza wakuu wa miji ya Yuda na kuwaambia: Hili ni neno baya zaidi, mnalolifanya siku ya mapumziko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikagombana na wakuu wa Yuda, nikawaambia, Ni neno baya gani hili mnalofanya ninyi, na kuinajisi siku ya sabato?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikawakaripia viongozi wa watu wa Yuda, nikisema: “Uovu gani huu munaofanya, kuichafua siku ya Sabato?