Nehemiah 13:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara mbili au tatu hivi wafanyabiashara waliokuwa wakiuza bidhaa za aina mbalimbali iliwabidi kulala nje ya mji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara moja au mbili wachuuzi na wauzaji wa bidhaa za aina zote walilala usiku nje ya mji wa Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wenye biashara na wachuuzi wa bidhaa za kila namna wakalala nje ya Yerusalemu mara mbili tatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara mbili au tatu hivi wafanyabiashara waliokuwa wakiuza bidhaa za aina mbalimbali iliwabidi kulala nje ya mji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara moja au mbili wachuuzi na wauzaji wa bidhaa za aina zote walilala usiku nje ya mji wa Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara moja au mbili wachuuzi na wauzaji wa bidhaa za aina zote walilala usiku nje ya mji wa Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wenye biashara na wachuuzi wa bidhaa za kila namna wakalala nje ya Yerusalemu mara moja au mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara mbili au tatu hivi wafanyabiashara waliokuwa wakiuza bidhaa za aina mbalimbali iliwabidi kulala nje ya mji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wachuuzi na wauzaji wa vitu vyo vyote hawakuwa na budi kulala nje ya Yerusalemu mara moja, hata mara mbili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wenye biashara na wachuuzi wa bidhaa za kila namna wakalala nje ya Yerusalemu mara mbili tatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara mbili au tatu hivi wachuuzi waliokuwa wakiuzisha biashara ya aina mbalimbali walipaswa kulala inje ya muji.