Nehemiah 13:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena wakati huo niliona Wayahudi waliooa wanawake kutoka Ashdodi, Amoni na Moabu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zaidi ya hayo, niliona Wayahudi waliokuwa wameoa wanawake kutoka Ashdodi, Amoni na Moabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena siku zizo hizo nikawaona wale Wayahudi waliokuwa wameoa wanawake wa Ashdodi, na Amoni, na Moabu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena wakati huo niliona Wayahudi waliooa wanawake kutoka Ashdodi, Amoni na Moabu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zaidi ya hayo, niliona watu wa Yuda waliokuwa wameoa wanawake kutoka Ashdodi, Amoni na Moabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zaidi ya hayo, niliona Wayahudi waliokuwa wameoa wanawake kutoka Ashdodi, Amoni na Moabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena siku zizo hizo nikawaona wale Wayahudi waliokuwa wameoa wanawake wa Ashdodi, na Amoni, na Moabu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena wakati huo niliona Wayahudi waliooa wanawake kutoka Ashdodi, Amoni na Moabu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena nikaona siku hizo, ya kuwa wako Wayuda waliooa wake wa Waasdodi na wa Waamoni na wa Wamoabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena siku zizo hizo nikawaona wale Wayahudi waliokuwa wameoa wanawake wa Ashdodi, na Amoni, na Moabu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena wakati ule nikaona Wayuda waliooa wanawake toka Asidodi, Amoni na Moabu;