Nehemiah 13:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na nusu ya watoto wao walizungumza Kiashdodi au lugha nyingine na hawakuweza kuzungumza lugha ya Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nusu ya watoto wao walizungumza lugha ya Kiashidodi au lugha ya watu wengine, bali hawakuweza kuzungumza Kiyahudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na watoto wao wakanena nusu kwa lugha ya Ashdodi, wala hawakuweza kunena kwa Kiyahudi, bali kwa lugha ya watu hao mojawapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na nusu ya watoto wao walizungumza Kiashdodi au lugha nyingine na hawakuweza kuzungumza lugha ya Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nusu ya watoto wao walizungumza lugha ya Kiashidodi au lugha ya watu wengine, hawakuweza kuzungumza Kiyahudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nusu ya watoto wao walizungumza lugha ya Kiashidodi au lugha ya watu wengine, bali hawakuweza kuzungumza Kiyahudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na nusu ya watoto wao wakazungumza kwa lugha ya Ashdodi, wala hawakuweza kuzungumza Kiyahudi, bali kwa lugha mojawapo ya watu hao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na nusu ya watoto wao walizungumza Kiashdodi au lugha nyingine na hawakuweza kuzungumza lugha ya Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wao nusu wakasema Kiasdodi, hawakuweza kusema Kiyuda, ila walisema misemo yao hawa na hawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na watoto wao wakanena nusu kwa lugha ya Ashdodi, wala hawakuweza kunena kwa Kiyahudi, bali kwa lugha ya watu hao mojawapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na nusu ya watoto wao waliosema luga ya Kiasidodi au luga nyingine na hawakuweza kusema luga ya inchi ya Yuda.