Nehemiah 13:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, sasa tufuate mfano wenu na tutende dhambi hii kubwa ya kutomtii Mungu wetu kwa kuoa wanawake wa kigeni?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, tulazimike sasa kusikia kwamba ninyi pia mmefanya uovu huu mkubwa na kutokuwa waaminifu kwa Mungu wetu kwa kuoa wanawake wa kigeni?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, na sisi, je! Tuwasikilize ninyi kutenda neno hili baya, hata kumhalifu Mungu wetu kwa kuwaoa wanawake wageni?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, sasa tufuate mfano wenu na tutende dhambi hii kubwa ya kutomtii Mungu wetu kwa kuoa wanawake wa kigeni?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, tulazimike sasa kusikia kwamba ninyi pia mmefanya uovu huu mkubwa na kutokuwa waaminifu kwa Mungu wetu kwa kuoa wanawake wa kigeni?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, tulazimike sasa kusikia kwamba ninyi pia mmefanya uovu huu mkubwa na kutokuwa waaminifu kwa Mungu wetu kwa kuoa wanawake wa kigeni?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, na sisi, je! Tuwasikilize ninyi kutenda neno hili baya, hata kumkosea Mungu wetu kwa kuwaoa wanawake wageni?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, sasa tufuate mfano wenu na tutende dhambi hii kubwa ya kutomtii Mungu wetu kwa kuoa wanawake wa kigeni?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tunasikiaje kwenu, ya kuwa mnayafanya hayo mabaya yote yaliyo makubwa, mkiyavunja maagano, tuliyoyafanya na Mungu wetu, kwa kuoa wanawake wageni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, na sisi, je! Tuwasikilize ninyi kutenda neno hili baya, hata kumhalifu Mungu wetu kwa kuwaoa wanawake wageni?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, sasa tufuate mufano wenu na tutende zambi hii kubwa ya kutomutii Mungu wetu kwa kuoa wanawake wa kigeni?”