Nehemiah 13:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mungu, kumbuka jinsi watu walivyochafua ukuhani na agano la kikuhani na la Walawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu wangu, uwakumbuke, kwa sababu wamenajisi ukuhani, na agano la kikuhani na la Walawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwakumbuke, Ee Mungu wangu, jinsi walivyounajisi ukuhani, na agano la ukuhani na la Walawi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, kumbuka jinsi watu walivyochafua ukuhani na agano la kikuhani na la Walawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu wangu, uwakumbuke, kwa sababu wamenajisi ukuhani na agano la kikuhani na la Walawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu wangu, uwakumbuke, kwa sababu wamenajisi ukuhani, na agano la kikuhani na la Walawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwakumbuke, Ee Mungu wangu, jinsi walivyounajisi ukuhani, na agano la ukuhani na la Walawi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, kumbuka jinsi watu walivyochafua ukuhani na agano la kikuhani na la Walawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu wangu, wakumbukie hivyo, walivyouchafua utambikaji kwa kuyavunja maagano ya utambikaji na ya Walawi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwakumbuke, Ee Mungu wangu, jinsi walivyounajisi ukuhani, na agano la ukuhani na la Walawi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)