Nehemiah 13:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Israeli waliposikia sheria hiyo waliwatenga watu wa mataifa mengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu waliposikia sheria hii, waliwatenga watu wote wasio Waisraeli waliokuwa wa uzao wa kigeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa walipoisikia torati, wakawatenga Israeli na umati wa watu waliochanganyika nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Israeli waliposikia sheria hiyo waliwatenga watu wa mataifa mengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu waliposikia sheria hii, waliwatenga watu wote wasio Waisraeli waliokuwa wa uzao wa kigeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu waliposikia sheria hii, waliwatenga watu wote wasio Waisraeli waliokuwa wa uzao wa kigeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa walipoisikia Torati, wakawatenga Israeli na umati wa watu waliochanganyika nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Israeli waliposikia sheria hiyo waliwatenga watu wa mataifa mengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo walipoyasikia Maonyo wakawatenga kwao Waisiraeli wote pia waliochanganyika nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa walipoisikia torati, wakawatenga Israeli na umati wa watu waliochanganyika nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Israeli waliposikia Sheria hiyo wakawatenga watu wa mataifa mengine.