Nehemiah 13:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliwatakasa watu kutokana na chochote kilichokuwa cha kigeni. Nikatayarisha mwongozo kwa ajili ya makuhani na Walawi kuhusu kazi ya kila mmoja wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo niliwatakasa makuhani na Walawi kutokana na chochote kilichokuwa cha kigeni, na kuwapa wajibu, kila mmoja katika kazi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo nikawatakasa na kila kitu kigeni, nami nikawaagizia zamu makuhani na Walawi, kila mtu kazini mwake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliwatakasa watu kutokana na chochote kilichokuwa cha kigeni. Nikatayarisha mwongozo kwa ajili ya makuhani na Walawi kuhusu kazi ya kila mmoja wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo niliwatakasa makuhani na Walawi kutokana na cho chote kilichokuwa cha kigeni, na kuwapa wajibu, kila mmoja katika kazi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo niliwatakasa makuhani na Walawi kutokana na chochote kilichokuwa cha kigeni, na kuwapa wajibu, kila mmoja katika kazi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo nikawatakasa na kila kitu kigeni, nami nikawawekea zamu makuhani na Walawi, kila mtu kazini mwake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliwatakasa watu kutokana na chochote kilichokuwa cha kigeni. Nikatayarisha mwongozo kwa ajili ya makuhani na Walawi kuhusu kazi ya kila mmoja wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, nilivyowaeua na kuyaondoa mambo yote ya kigeni, nikawasimikia watambikaji na Walawi zamu zao za utumishi wa kila mtu katika kazi yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo nikawatakasa na kila kitu kigeni, nami nikawaagizia zamu makuhani na Walawi, kila mtu kazini mwake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikawatakasa watu kutokana na chochote kilichokuwa cha kigeni. Nikatayarisha utaratibu kwa ajili ya makuhani na Walawi juu ya kazi ya kila mumoja wao.