Nehemiah 13:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliagiza matoleo ya kuni kufanyika katika wakati unaopaswa na malimbuko wakati wake. Ee Mungu wangu, nikumbuke kwa ajili ya haya yote na unijalie mema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia nilihakikisha kwamba matoleo ya kuni yaliletwa kwa wakati unaopaswa, na malimbuko kwa wakati wake. Ee Mungu wangu, unikumbuke, unitendee mema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na matoleo ya kuni nyakati zilizoamriwa, na malimbuko. Nikumbuke, Ee Mungu wangu, ili unitendee mema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliagiza matoleo ya kuni kufanyika katika wakati unaopaswa na malimbuko wakati wake. Ee Mungu wangu, nikumbuke kwa ajili ya haya yote na unijalie mema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia nilihakikisha kwamba matoleo ya kuni yaliletwa kwa wakati unaopaswa na malimbuko kwa wakati wake. Ee Mungu wangu, unikumbuke, unitendee mema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia nilihakikisha kwamba matoleo ya kuni yaliletwa kwa wakati unaopaswa, na malimbuko kwa wakati wake. Ee Mungu wangu, unikumbuke, unitendee mema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kuleta kwa kuni na malimbuko, katika nyakati zilizoamriwa. Nikumbuke, Ee Mungu wangu, ili unitendee mema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliagiza matoleo ya kuni kufanyika katika wakati unaopaswa na malimbuko wakati wake. Ee Mungu wangu, nikumbuke kwa ajili ya haya yote na unijalie mema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikayatengeneza nayo matoleo ya kuni na ya malimbuko, yafanyike siku zizo hizo zilizowekwa. Mungu wangu, nikumbukie haya, unipatie mema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na matoleo ya kuni nyakati zilizoamriwa, na malimbuko. Nikumbuke, Ee Mungu wangu, ili unitendee mema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikaagiza matoleo ya kuni kufanyika katika wakati unaopaswa na malimbuko wakati wake. Ee Mungu wangu, unikumbuke kwa ajili ya haya yote na unijalie mema.