Nehemiah 13:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabla ya siku ya sherehe, kuhani Eliashibu aliyekuwa ameteuliwa kuangalia vyumba vya nyumba ya Mungu wetu, na mwenye uhusiano mwema na Tobia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kabla ya hili, kuhani Eliashibu alikuwa amewekwa kuwa msimamizi wa vyumba vya ghala ya nyumba ya Mungu wetu. Alikuwa na uhusiano wa karibu na Tobia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kabla ya hayo, Eliashibu, kuhani, aliyewekwa avisimamie vyumba vya nyumba ya Mungu wetu, kwa kuwa alikuwa karibu yake Tobia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabla ya siku ya sherehe, kuhani Eliashibu aliyekuwa ameteuliwa kuangalia vyumba vya nyumba ya Mungu wetu, na mwenye uhusiano mwema na Tobia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabla ya hili, kuhani Eliyashibu alikuwa amewekwa kuwa msimamizi wa vyumba vya ghala ya nyumba ya Mungu wetu. Alikuwa na uhusiano wa karibu na Tobia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabla ya hili, kuhani Eliashibu alikuwa amewekwa kuwa msimamizi wa vyumba vya ghala ya nyumba ya Mungu wetu. Alikuwa na uhusiano wa karibu na Tobia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kabla ya hayo, Eliashibu, kuhani, aliyewekwa avisimamie vyumba vya nyumba ya Mungu wetu, kwa kuwa alikuwa jamaa yake Tobia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabla ya siku ya sherehe, kuhani Eliashibu aliyekuwa ameteuliwa kuangalia vyumba vya nyumba ya Mungu wetu, na mwenye uhusiano mwema na Tobia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo yalipokuwa hayajafanyika bado, mtambikaji Eliasibu alikuwa amewekwa kuviangalia vyumba vya Nyumba ya Mungu. Naye kwa kuwa ndugu yake Tobia
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kabla ya hayo, Eliashibu, kuhani, aliyewekwa avisimamie vyumba vya nyumba ya Mungu wetu, kwa kuwa alikuwa karibu yake Tobia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbele ya siku ya sherehe, kuhani Eliasibu aliyekuwa amechaguliwa kwa kulinda vyumba vya nyumba ya Mungu wetu, na mwenye ushirika mwema na Tobia,