Nehemiah 13:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliporudi Yerusalemu ndipo nikagundua uovu wa Eliashibu wa kumpa Tobia chumba katika ua wa nyumba ya Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nikarudi Yerusalemu. Hapo niligundua jambo la uovu alilofanya Eliashibu kwa kumpa Tobia chumba katika nyua za nyumba ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikaja Yerusalemu, nikafahamu yale mabaya, ambayo Eliashibu ameyatenda kwa ajili ya Tobia, kwa kumtengenezea chumba katika nyua za nyumba ya Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliporudi Yerusalemu ndipo nikagundua uovu wa Eliashibu wa kumpa Tobia chumba katika ua wa nyumba ya Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nirudi Yerusalemu. Hapo niligundua jambo la uovu alilofanya Eliyashibu kwa kumpa Tobia chumba katika nyua za nyumba ya Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nikarudi Yerusalemu. Hapo niligundua jambo la uovu alilofanya Eliashibu kwa kumpa Tobia chumba katika nyua za nyumba ya Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nikaja Yerusalemu, nikafahamu yale mabaya, ambayo Eliashibu ameyatenda kwa ajili ya Tobia, kwa kumtengenezea chumba katika nyua za nyumba ya Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliporudi Yerusalemu ndipo nikagundua uovu wa Eliashibu wa kumpa Tobia chumba katika ua wa nyumba ya Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipokuja Yerusalemu nikayatambua hayo mabaya, Eliasibu aliyoyafanya kwa ajili yake Tobia akimpa chumba uani penye Nyumba ya Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikaja Yerusalemu, nikafahamu yale mabaya, ambayo Eliashibu ameyatenda kwa ajili ya Tobia, kwa kumtengenezea chumba katika nyua za nyumba ya Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliporudi Yerusalema ndipo nikagundua uovu wa Eliasibu wa kumutayarishia Tobia chumba katika kiwanja cha nyumba ya Mungu.