Nehemiah 13:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliamuru watu, nao wakatakasa vyombo hivyo, ndipo nikarudisha humo vifaa vya nyumba ya Mungu, pamoja na tambiko za nafaka na ubani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilitoa amri kutakasa vyumba, kisha nikavirudisha vifaa vya nyumba ya Mungu, pamoja na sadaka za nafaka na uvumba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha nikatoa amri, nao wakavisafisha vyumba; nami nikavirudisha humo vyombo vya nyumba ya Mungu, pamoja na sadaka za unga na ubani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliamuru watu, nao wakatakasa vyombo hivyo, ndipo nikarudisha humo vifaa vya nyumba ya Mungu, pamoja na tambiko za nafaka na ubani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilitoa amri kutakasa vyumba, kisha nilivirudisha vifaa vya nyumba ya Mungu, pamoja na sadaka za nafaka na uvumba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilitoa amri kutakasa vyumba, kisha nikavirudisha vifaa vya nyumba ya Mungu, pamoja na sadaka za nafaka na uvumba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha nikatoa amri, nao wakavisafisha vyumba; nami nikavirudisha humo vyombo vya nyumba ya Mungu, pamoja na sadaka za unga na ubani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliamuru watu, nao wakatakasa vyombo hivyo, ndipo nikarudisha humo vifaa vya nyumba ya Mungu, pamoja na tambiko za nafaka na ubani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nikaagiza, wavitakase hivyo vyumba, kisha nikarudisha humo vyombo vya Nyumba ya Mungu na vilaji vya tambiko na uvumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha nikatoa amri, nao wakavisafisha vyumba; nami nikavirudisha humo vyombo vya nyumba ya Mungu, pamoja na sadaka za unga na ubani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikaamuru watu, nao wakatakasa vyombo hivyo halafu nikarudisha mule vifaa vya nyumba ya Mungu, pamoja na sadaka ya unga na ubani.