Nehemiah 2:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo nikafika Yerusalemu, nikakaa huko kwa siku tatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilienda Yerusalemu, na baada ya kukaa huko siku tatu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi nikafika Yerusalemu, nikakaa huko muda wa siku tatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo nikafika Yerusalemu, nikakaa huko kwa siku tatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilikwenda Yerusalemu, nami baada ya kukaa huko siku tatu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilienda Yerusalemu, na baada ya kukaa huko siku tatu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi nikafika Yerusalemu, nikakaa huko muda wa siku tatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo nikafika Yerusalemu, nikakaa huko kwa siku tatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipofika Yerusalemu nikakaa huko siku tatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi nikafika Yerusalemu, nikakaa huko muda wa siku tatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo nikafika Yerusalema, nikakaa kule kwa siku tatu.