Nehemiah 2:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo wa usiku, nikapitia bondeni na kukagua ukuta wa mji. Nilirudi nikapitia Lango la Bondeni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa hiyo nikapandia bondeni usiku nikikagua ukuta. Mwishoni nikarudi na kuingia tena kupitia Lango la Bondeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha nikapanda usiku kando ya kijito, nikautazama ukuta; kisha nikarudi nyuma, nikaingia kwa lango la bondeni, nikarejea hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo wa usiku, nikapitia bondeni na kukagua ukuta wa mji. Nilirudi nikapitia Lango la Bondeni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa hiyo nikapandia bondeni usiku, nikikagua ukuta. Mwishoni, nikarudi na kuingia tena kupitia Lango la Bondeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa hiyo nikapandia bondeni usiku nikikagua ukuta. Mwishoni nikarudi na kuingia tena kupitia Lango la Bondeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha nikapanda usiku kando ya kijito, nikautazama ukuta; kisha nikarudi nyuma, nikaingia kwa lango la bondeni, nikarejea hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo wa usiku, nikapitia bondeni na kukagua ukuta wa mji. Nilirudi nikapitia Lango la Bondeni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nilipokwea katika bonde la kijito usiku uleule, nikawa nikiuchungulia ukuta; kisha nikarudi, nikafika tena kwenye lango la Bondeni, nikarudi nyumbani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha nikapanda usiku kando ya kijito, nikautazama ukuta; kisha nikarudi nyuma, nikaingia kwa lango la bondeni, nikarejea hivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule wa usiku, nikapitia katika bonde na kuchunguza ukuta wa muji. Nikarudi nikipitia kwa Mulango wa Bonde.