Nehemiah 2:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme akaniuliza (malkia akiwa karibu naye), “Utakuwa huko kwa muda gani na utarudi lini hapa?” Ombi langu akalikubali nami nikamjulisha wakati nitakaporudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mfalme, huku malkia akiwa ameketi karibu naye, akaniuliza, “Safari yako itachukua muda gani, nawe utarudi lini?” Ilimpendeza mfalme kunituma, kwa hiyo nikapanga muda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akaniuliza, (malkia naye ameketi karibu naye), Safari yako itakuwa ya siku ngapi? Nawe utarudi lini? Hivyo mfalme akaona vema kunipeleka; nami nikampa muda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme akaniuliza (malkia akiwa karibu naye), “Utakuwa huko kwa muda gani na utarudi lini hapa?” Ombi langu akalikubali nami nikamjulisha wakati nitakaporudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mfalme, pamoja na malkia akiwa ameketi karibu naye, akaniuliza, “Safari yako itachukua muda gani, nawe utarudi lini?” Ilimpendeza mfalme kunituma kwa hiyo nikapanga muda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mfalme, na malkia akiwa ameketi karibu naye, akaniuliza, “Safari yako itachukua muda gani, nawe utarudi lini?” Ilimpendeza mfalme kunituma, kwa hiyo nikapanga muda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme akaniuliza, (malkia akiwa ameketi karibu naye), Safari yako itakuwa ya siku ngapi? Nawe utarudi lini? Hivyo mfalme akaona vema kunituma; nami nikampa muda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme akaniuliza (malkia akiwa karibu naye), “Utakuwa huko kwa muda gani na utarudi lini hapa?” Ombi langu akalikubali nami nikamjulisha wakati nitakaporudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akaniuliza, naye mkewe alikuwa amekaa kando yake, kwamba: Safari yako itakuwa ya siku ngapi? Utarudi lini? Basi, mfalme akaviona kuwa vema, akanituma, nami nikaagana naye siku za kurudi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akaniuliza, (malkia naye ameketi karibu naye), Safari yako itakuwa ya siku ngapi? Nawe utarudi lini? Hivyo mfalme akaona vema kunipeleka; nami nikampa muda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme akaniuliza (malkia akiwa karibu naye): “Utakuwa kule kwa muda gani na utarudi hapa wakati gani?” Ombi langu akalikubali nami nikamujulisha wakati nitakaporudi.