Nehemiah 3:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya huyo, sehemu zinazofuata zilijengwa upya na ndugu zao. Sehemu inayofuata ilijengwa upya na Bavai, mwana wa Henadadi, mkuu wa nusu ya wilaya ya Keila.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada yake, ukarabati ulifanywa na ndugu zao chini ya usimamizi wa Binui mwana wa Henadadi, mtawala wa nusu hiyo ingine ya wilaya ya Keila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baada yake wakafanyiza ndugu zao, Binui, mwana wa Henadadi, akida wa nusu ya mtaa wa Keila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya huyo, sehemu zinazofuata zilijengwa upya na ndugu zao. Sehemu inayofuata ilijengwa upya na Bavai, mwana wa Henadadi, mkuu wa nusu ya wilaya ya Keila.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sehemu iliofuatia, ukarabati ulifanywa na ndugu zao chini ya usimamizi wa Binui, mwana wa Henadadi, mtawala wa nusu ya wilaya ya Keila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada yake, ukarabati ulifanywa na ndugu zao chini ya usimamizi wa Binui mwana wa Henadadi, mtawala wa nusu hiyo ingine ya wilaya ya Keila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baada yake wakajenga ndugu zao, Binui, mwana wa Henadadi, mkuu wa nusu ya mtaa wa Keila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya huyo, sehemu zinazofuata zilijengwa upya na ndugu zao. Sehemu inayofuata ilijengwa upya na Bavai, mwana wa Henadadi, mkuu wa nusu ya wilaya ya Keila.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyuma yake wakafanya kazi ndugu zao: Bawai, mwana wa Henadadi, aliyekuwa mkuu wa nusu ya pili ya mtaa wa Keila.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baada yake wakafanyiza ndugu zao, Binui, mwana wa Henadadi, akida wa nusu ya mtaa wa Keila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma yake, sehemu zinazofuata zikajengwa upya na wandugu zao. Sehemu inayofuata ikajengwa upya na Bawayi mwana wa Henadadi, mutawala wa nusu ya wilaya ya Keila.