Nehemiah 3:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sehemu iliyofuata ilijengwa upya na watu wa mji wa Yeriko. Baada ya hayo akafuata Zakuri mwana wa Imri kujenga ukuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaume wa Yeriko wakajenga sehemu zilizopakana nao, naye Zakuri mwana wa Imri akajenga karibu nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baada yao wakajenga watu wa Yeriko. Na baada yao akajenga Zakuri, mwana wa Imri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sehemu iliyofuata ilijengwa upya na watu wa mji wa Yeriko. Baada ya hayo akafuata Zakuri mwana wa Imri kujenga ukuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Yeriko wakajenga sehemu zilizopakana nao, Zahuri mwana wa Imri aliendelea kujenga karibu nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Yeriko wakajenga sehemu zilizopakana nao, naye Zakuri mwana wa Imri akajenga karibu nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sehemu iliyofuata ilijengwa na watu wa Yeriko. Na baada yao Zakuri mwana wa Imri akajenga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sehemu iliyofuata ilijengwa upya na watu wa mji wa Yeriko. Baada ya hayo akafuata Zakuri mwana wa Imri kujenga ukuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkononi kwake kumoja wakajenga watu wa Yeriko, mkononi kwake kungine akajenga Zakuri, mwana wa Imuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baada yao wakajenga watu wa Yeriko. Na baada yao akajenga Zakuri, mwana wa Imri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sehemu iliyofuata ilijengwa upya na watu wa muji wa Yeriko. Nyuma ya hayo aliyefuata ni Zakuri mwana wa Imuri kwa kujenga sehemu ya ukuta.