Nehemiah 3:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sehemu inayofuata ilijengwa upya na makuhani waliokaa katika sehemu tambarare.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada yake, ukarabati ulifanywa na makuhani waliotoka eneo lililouzunguka mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baada yake wakafanyiza makuhani, watu wa Uwandani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sehemu inayofuata ilijengwa upya na makuhani waliokaa katika sehemu tambarare.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sehemu iliofuatia, ukarabati ulifanywa na makuhani kuanzia eneo lililouzunguka mji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada yake, ukarabati ulifanywa na makuhani waliotoka eneo lililouzunguka mji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baada yake wakafanyiza makuhani, watu wa Uwandani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sehemu inayofuata ilijengwa upya na makuhani waliokaa katika sehemu tambarare.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyuma yake wakafanya kazi watambikaji waliokaa katika nchi ya tambarare.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baada yake wakafanyiza makuhani, watu wa Uwandani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sehemu inayofuata ikajengwa upya na makuhani waliokaa katika sehemu ya mabonde.