Nehemiah 3:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Benyamini na Hashubu walijenga upya sehemu inayokabiliana na nyumba yake. Azaria, mwana wa Maaseya, mwana wa Anania, alijenga upya sehemu inayokabiliana na nyumba yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada yao Benyamini na Hashubu walikarabati mbele ya nyumba zao, na baada yao Azaria mwana wa Maaseya, mwana wa Anania alifanya ukarabati kando ya nyumba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baada yao wakafanyiza Benyamini na Hashubu, kuielekea nyumba yao. Baada yao akafanyiza Azaria, mwana wa Maaseya, mwana wa Anania, kando ya nyumba yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Benyamini na Hashubu walijenga upya sehemu inayokabiliana na nyumba yake. Azaria, mwana wa Maaseya, mwana wa Anania, alijenga upya sehemu inayokabiliana na nyumba yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada yao Benyamini na Hashubu walikarabati mbele ya nyumba zao, baada yao Azaria mwana wa Maaseya, mwana wa Anania alifanya ukarabati kando ya nyumba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada yao Benyamini na Hashubu walikarabati mbele ya nyumba zao, na baada yao Azaria mwana wa Maaseya, mwana wa Anania alifanya ukarabati kando ya nyumba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baada yao wakajenga Benyamini na Hashubu, kuielekea nyumba yao. Baada yao akajenga Azaria, mwana wa Maaseya, mwana wa Anania, kando ya nyumba yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Benyamini na Hashubu walijenga upya sehemu inayokabiliana na nyumba yake. Azaria, mwana wa Maaseya, mwana wa Anania, alijenga upya sehemu inayokabiliana na nyumba yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyuma yao wakafanya kazi Benyamini na Hasubu, wakapatengeneza panapoielekea nyumba yao; nyuma yao wakafanya kazi Azaria, mwana wa Masea, mwana wa Anania, kando ya nyumba yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baada yao wakafanyiza Benyamini na Hashubu, kuielekea nyumba yao. Baada yao akafanyiza Azaria, mwana wa Maaseya, mwana wa Anania, kando ya nyumba yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Benjamina na Hasubu wakajenga upya sehemu inayoelekeana na nyumba yao. Azaria mwana wa Masea, mujukuu wa Anania, akajenga upya sehemu inayoelekeana na nyumba yao.