Nehemiah 3:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuanzia kwenye nyumba ya Azaria hadi pembeni mwa ukuta ilijengwa upya na Binui, mwana wa Henadadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada yake, Binui mwana wa Henadadi alikarabati sehemu nyingine, kuanzia kwenye nyumba ya Azaria hadi kwenye pembe ya ukuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baada yake akafanyiza Binui, mwana wa Henadadi, sehemu nyingine, toka nyumba ya Azaria mpaka ugeukapo ukuu, na mpaka pembeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuanzia kwenye nyumba ya Azaria hadi pembeni mwa ukuta ilijengwa upya na Binui, mwana wa Henadadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sehemu iliofuatia, Binui mwana wa Henadadi alikarabati sehemu nyingine, kuanzia kwenye nyumba ya Azaria mpaka kwenye pembe ya ukuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada yake, Binui mwana wa Henadadi alikarabati sehemu nyingine, kuanzia kwenye nyumba ya Azaria mpaka kwenye pembe ya ukuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baada yake Binui, mwana wa Henadadi, alitengeneza sehemu nyingine, kuanzia kwenye nyumba ya Azaria mpaka ugeukapo ukuu, na mpaka pembeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuanzia kwenye nyumba ya Azaria hadi pembeni mwa ukuta ilijengwa upya na Binui, mwana wa Henadadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyuma yake akafanya kazi Binui, mwana wa Henadadi, akatengeneza kipande kingine kutoka nyumba ya Azaria mpaka pembeni panapogeuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baada yake akafanyiza Binui, mwana wa Henadadi, sehemu nyingine, toka nyumba ya Azaria mpaka ugeukapo ukuu, na mpaka pembeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuanzia kwenye nyumba ya Azaria mpaka kwenye pembe ya ukuta ikajengwa upya na Binui mwana wa Henadadi.