Nehemiah 3:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akishirikiana na watumishi wa hekalu waliokaa Ofeli, walijenga upya sehemu inayokabiliana na Lango la Maji, upande wa mashariki na mnara mrefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na watumishi wa Hekalu walioishi juu ya kilima cha Ofeli walikarabati hadi kufikia mkabala na Lango la Maji, kuelekea mashariki na ule mnara uliochomoza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(basi Wanethini hukaa Ofeli), mpaka mahali paelekeapo lango la maji kukabili mashariki, nao mnara utokezao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akishirikiana na watumishi wa hekalu waliokaa Ofeli, walijenga upya sehemu inayokabiliana na Lango la Maji, upande wa mashariki na mnara mrefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na watumishi wa Hekalu waishio juu ya kilima cha Ofeli walikarabati hadi kufikia mkabala na Lango la Maji, kuelekea mashariki pamoja na ule mnara uliojitokeza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na watumishi wa Hekalu walioishi juu ya kilima cha Ofeli walikarabati hadi kufikia mkabala na Lango la Maji, kuelekea mashariki na ule mnara uliojitokeza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(basi Wanethini hukaa Ofeli), mpaka mahali paelekeapo lango la maji kukabili mashariki, nao mnara utokezao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akishirikiana na watumishi wa hekalu waliokaa Ofeli, walijenga upya sehemu inayokabiliana na Lango la Maji, upande wa mashariki na mnara mrefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watumishi wa Nyumbani mwa Mungu walikuwa wanakaa Ofeli kufikia hapo panapoelekea lango la Maji lililoko upande wa maawioni kwa jua, ni hapo panapotokea mnara.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(basi Wanethini hukaa Ofeli), mpaka mahali paelekeapo lango la maji kukabili mashariki, nao mnara utokezao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akishirikiana na watumishi wa hekalu waliokaa Ofeli, wakajenga upya sehemu inayoelekeana na Mulango wa Maji, upande wa mashariki na munara murefu.