Nehemiah 3:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sehemu nyingine inayofuata, ikitokea kwenye mnara mrefu hadi ukuta wa Ofeli ilijengwa upya na wakazi wa mji wa Tekoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada yao, watu wa Tekoa walikarabati sehemu nyingine, kuanzia mnara mkubwa unaochomoza hadi ukuta wa Ofeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baada yake wakafanyiza Watekoi sehemu nyingine, kuuelekea mnara mkubwa utokezao, na mpaka ukuta wa Ofeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sehemu nyingine inayofuata, ikitokea kwenye mnara mrefu hadi ukuta wa Ofeli ilijengwa upya na wakazi wa mji wa Tekoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sehemu iliofuatia, watu wa Tekoa walikarabati sehemu nyingine, kuanzia mnara mkubwa utokezao hadi ukuta wa Ofeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada yao, watu wa Tekoa walikarabati sehemu nyingine, kuanzia mnara mkubwa utokezao hadi ukuta wa Ofeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baada yake wakajenga Watekoi sehemu nyingine, kuuelekea mnara mkubwa utokezao, na mpaka ukuta wa Ofeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sehemu nyingine inayofuata, ikitokea kwenye mnara mrefu hadi ukuta wa Ofeli ilijengwa upya na wakazi wa mji wa Tekoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyuma yao wakafanya kazi Watekoa, wakatengeneza kipande kingine kutoka panapoelekea ule mnara mkubwa unapotokea kufikia ukuta wa Ofeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baada yake wakafanyiza Watekoi sehemu nyingine, kuuelekea mnara mkubwa utokezao, na mpaka ukuta wa Ofeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sehemu ingine inayofuata, ikitokea kwenye munara murefu mpaka kwenye ukuta wa Ofeli ikajengwa upya na wakaaji wa muji wa Tekoa.