Nehemiah 3:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sadoki, mwana wa Imeri alijenga upya sehemu inayokabiliana na nyumba yake. Sehemu inayofuata, ilijengwa upya na Shemaya, mwana wa Shekania, mlinzi wa Lango la Mashariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada yao, Sadoki mwana wa Imeri alifanya ukarabati mkabala na nyumba yake. Baada yake, Shemaya mwana wa Shekania, mlinzi wa Lango la Mashariki, alifanya ukarabati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baada yake akafanyiza Shemaya, mwana wa Shekania, mlinzi wa lango la mashariki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sadoki, mwana wa Imeri alijenga upya sehemu inayokabiliana na nyumba yake. Sehemu inayofuata, ilijengwa upya na Shemaya, mwana wa Shekania, mlinzi wa Lango la Mashariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada yao, Sadoki mwana wa Imeri alifanya ukarabati mkabala na nyumba yake. Sehemu iliofuatia, Shemaya mwana wa Shekania, mlinzi wa Lango la Mashariki, alifanya ukarabati.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada yao, Sadoki mwana wa Imeri alifanya ukarabati mkabala na nyumba yake. Baada yake, Shemaya mwana wa Shekania, mlinzi wa Lango la Mashariki, alifanya ukarabati.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baada yake akajenga Shemaya, mwana wa Shekania, mlinzi wa lango la mashariki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sadoki, mwana wa Imeri alijenga upya sehemu inayokabiliana na nyumba yake. Sehemu inayofuata, ilijengwa upya na Shemaya, mwana wa Shekania, mlinzi wa Lango la Mashariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyuma yao akafanya kazi Sadoki, mwana wa Imeri, akapatengeneza panapoielekea nyumba yake; nyuma yake akafanya kazi semaya, mwana wa Sekania, mlinzi wa lango lielekealo upande wa maawioni kwa jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baada yake akafanyiza Shemaya, mwana wa Shekania, mlinzi wa lango la mashariki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zadoki mwana wa Imeri akajenga upya sehemu inayoelekeana na nyumba yake. Sehemu inayofuata, ikajengwa upya na Semaya mwana wa Sekania, mulinzi wa Mulango wa Mashariki,