Nehemiah 3:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sehemu ya mwisho kutoka chumba kwenye pembe hadi Lango la Kondoo ilijengwa upya na wafua dhahabu na wafanyabiashara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Masonara na wafanyabiashara walifanya ukarabati kutoka chumba kilichoko juu ya pembe hadi Lango la Kondoo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kati ya chumba cha juu cha pembeni na lango la kondoo wakafanyiza mafundi wa dhahabu na wafanya biashara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sehemu ya mwisho kutoka chumba kwenye pembe hadi Lango la Kondoo ilijengwa upya na wafua dhahabu na wafanyabiashara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Masonara na wafanya biashara walifanya ukarabati kati ya chumba kilichoko juu ya pembe ya Lango la Kondoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Masonara na wafanyabiashara walifanya ukarabati kutoka chumba kilichoko juu ya pembe hadi Lango la Kondoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kati ya chumba cha juu cha pembeni na lango la kondoo wakajenga mafundi wa dhahabu na wafanya biashara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sehemu ya mwisho kutoka chumba kwenye pembe hadi Lango la Kondoo ilijengwa upya na wafua dhahabu na wafanyabiashara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena hapo katikati ya kupandia pembeni na lango la Kondoo wakapatengeneza wafua dhahabu na wachuuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kati ya chumba cha juu cha pembeni na lango la kondoo wakafanyiza mafundi wa dhahabu na wafanya biashara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sehemu ya mwisho kutokea kwa chumba kwenye pembe mpaka kwenye Mulango wa Kondoo ikajengwa upya na wafua zahabu na wachuuzi.