Nehemiah 3:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lango la Zamani lilijengwa upya na Yoyada, mwana wa Pasea, pamoja na Meshulamu, mwana wa Besodeya, wakatia miimo yake, milango, bawaba na makomeo yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lango la Yeshana lilikarabatiwa na Yoyada mwana wa Pasea, na Meshulamu mwana wa Besodeya. Waliweka boriti zake, na wakaweka milango, makomeo na nondo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na lango la kale wakalifanyiza Yoyada, mwana wa Pasea, na Meshulamu, mwana wa Besodeya; wakazitia boriti zake, wakaisimamisha milango yake, na vyuma vyake, na makomeo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lango la Zamani lilijengwa upya na Yoyada, mwana wa Pasea, pamoja na Meshulamu, mwana wa Besodeya, wakatia miimo yake, milango, bawaba na makomeo yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lango la Yeshana lilikarabatiwa na Yoyada mwana wa Pasea na Meshulamu mwana wa Besodeya. Wakaziweka boriti zake, milango, makomeo na nondo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lango la Yeshana lilikarabatiwa na Yoyada mwana wa Pasea, na Meshulamu mwana wa Besodeya. Waliweka boriti zake, na wakaweka milango, makomeo na nondo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na lango la kale wakalijenga Yoyada, mwana wa Pasea, na Meshulamu, mwana wa Besodeya; wakazitia boriti zake, wakaisimamisha milango yake, na vyuma vyake, na makomeo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lango la Zamani lilijengwa upya na Yoyada, mwana wa Pasea, pamoja na Meshulamu, mwana wa Besodeya, wakatia miimo yake, milango, bawaba na makomeo yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lango la Kale wakalitengeneza Yoyada, mwana wa Pasea, na Mesulamu mwana wa Besodia; walipokwisha kuiunga mihimili yake wakaitia milango yake na makomeo yake na miti yake ya kukingia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na lango la kale wakalifanyiza Yoyada, mwana wa Pasea, na Meshulamu, mwana wa Besodeya; wakazitia boriti zake, wakaisimamisha milango yake, na vyuma vyake, na makomeo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mulango wa zamani; ukajengwa upya na Yoyada mwana wa Pasea, pamoja na Mesulamu mwana wa Besodia, wakatia miimo yake, milango, vyuma na vifungio vyake.