Nehemiah 3:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliowafuata hao katika kazi hiyo ya kujenga upya walikuwa Melatia, Mgibeoni; Yadoni, Mmeronothi pamoja na watu wa mji wa Gibeoni na Mizpa waliokuwa chini ya uongozi wa mtawala wa mkoa wa magharibi ya mto Eufrate.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Karibu nao ukarabati ulifanywa na watu kutoka Gibeoni na Mispa, yaani Melati Mgibeoni, na Yadoni Mmeronothi, sehemu hizi zikiwa chini ya mamlaka ya mtawala wa Ng’ambo ya Frati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baada yao wakafanyiza Melatia, Mgibeoni, na Yadoni, Mmeronothi, watu wa Gibeoni, na wa Mispa, raia wa kiti cha enzi cha liwali wa ng'ambo ya Mto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliowafuata hao katika kazi hiyo ya kujenga upya walikuwa Melatia, Mgibeoni; Yadoni, Mmeronothi pamoja na watu wa mji wa Gibeoni na Mizpa waliokuwa chini ya uongozi wa mtawala wa mkoa wa magharibi ya mto Eufrate.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Karibu nao ukarabati ulifanywa na watu kutoka Gibeoni na Mispa, Melati ya Gibeoni na Yadoni ya Meronothi, sehemu hizi zilikuwa chini ya mamlaka ya mtawala wa Ng'ambo ya Eufrati.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Karibu nao ukarabati ulifanywa na watu kutoka Gibeoni na Mispa, yaani Melati Mgibeoni, na Yadoni Mmeronothi, sehemu hizi zikiwa chini ya mamlaka ya mtawala wa Ng’ambo ya Frati.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baada yao wakajenga Melatia, Mgibeoni, na Yadoni, Mmeronothi, watu wa Gibeoni, na wa Mispa, waliokuwa chini ya utawala wa mtawala wa sehemu ya ng'ambo ya Mto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliowafuata hao katika kazi hiyo ya kujenga upya walikuwa Melatia, Mgibeoni; Yadoni, Mmeronothi pamoja na watu wa mji wa Gibeoni na Mizpa waliokuwa chini ya uongozi wa mtawala wa mkoa wa magharibi ya mto Eufrate.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kando yao wakafanya kazi: Melatia wa Gibeoni na Yadoni wa Meronoti na watu wa Gibeoni na wa Misipa, wakapatengeneza hapo penye kiti cha kifalme cha mwenye amri wa nchi zilizoko ng'ambo ya huku ya jito kubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baada yao wakafanyiza Melatia, Mgibeoni, na Yadoni, Mmeronothi, watu wa Gibeoni, na wa Mispa, raia wa kiti cha enzi cha liwali wa ng’ambo ya Mto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliowafuata hao katika kazi hiyo ya kujenga upya walikuwa Melatia, Mugibeoni; Yadoni, Mumeronoti pamoja na watu wa muji wa Gibeoni na Misipa waliokuwa chini ya uongozi wa mutawala wa jimbo la upande wa magaribi wa muto Furati.