Nehemiah 3:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sehemu inayofuata ilijengwa upya na Refaya, mwana wa Huri, mkuu wa nusu ya wilaya ya Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Refaya mwana wa Huri, mtawala wa nusu ya wilaya ya Yerusalemu, alikarabati sehemu iliyofuatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baada yao akafanyiza Refaya, mwana wa Huri, akida wa nusu ya Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sehemu inayofuata ilijengwa upya na Refaya, mwana wa Huri, mkuu wa nusu ya wilaya ya Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Refaya mwana wa Huri, mtawala wa nusu ya wilaya ya Yerusalemu, alikarabati sehemu iliyofuatia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Refaya mwana wa Huri, mtawala wa nusu ya wilaya ya Yerusalemu, alikarabati sehemu iliyofuatia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baada yao Refaya, mwana wa Huri akajenga, mtawala wa nusu ya Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sehemu inayofuata ilijengwa upya na Refaya, mwana wa Huri, mkuu wa nusu ya wilaya ya Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kando yake akafanya kazi Refaya, mwana wa Huri, aliyekuwa mkuu wa nusu ya mtaa wa Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baada yao akafanyiza Refaya, mwana wa Huri, akida wa nusu ya Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sehemu inayofuata ikajengwa upya na Refaya mwana wa Huri, mukubwa wa nusu ya wilaya ya Yerusalema.