Nehemiah 4:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Yuda wakawa wakilalamika wakisema, “Nguvu za vibarua zinapungua na bado kuna takataka nyingi za kubeba. Hatuwezi kuendelea kujenga ukuta.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati ule ule, watu wa Yuda wakasema, “Nguvu za wafanyakazi zinapungua, nacho kifusi ni kingi mno, kiasi kwamba hatuwezi kuujenga upya ukuta.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasema Yuda, Nguvu zao wachukuao mizigo zimedhoofika, na kifusi tele zipo; tusiweze kuujenga ukuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Yuda wakawa wakilalamika wakisema, “Nguvu za vibarua zinapungua na bado kuna takataka nyingi za kubeba. Hatuwezi kuendelea kujenga ukuta.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati ule ule, watu wa Yuda wakasema, “Nguvu za wafanya kazi zinapungua, nacho kifusi ni kingi mno kiasi kwamba hatuwezi kuujenga upya ukuta.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati ule ule, watu wa Yuda wakasema, “Nguvu za wafanyakazi zinapungua, nacho kifusi ni kingi mno, kiasi kwamba hatuwezi kuujenga upya ukuta.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Yuda wakasema, Nguvu zao wapagazi zimedhoofika, bado kuna vifusi tele; hatuwezi kuujenga ukuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Yuda wakawa wakilalamika wakisema, “Nguvu za vibarua zinapungua na bado kuna takataka nyingi za kubeba. Hatuwezi kuendelea kujenga ukuta.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayuda wakasema: Nguvu za wachukuzi zimekwisha, hujikwaa tu, nayo mavumbi ni mengi, kwa hiyo hatuwezi kuendelea kulijenga boma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasema Yuda, Nguvu zao wachukuao mizigo zimedhoofika, na kifusi tele zipo; tusiweze kuujenga ukuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tokea siku ile na kuendelea, nusu ya watumishi wangu wakakuwa wanaendelea na ujenzi wakati nusu ingine ikakuwa inashika ulinzi wakiwa na mikuki, ngao, pinde na nguo za chuma. Viongozi wetu wakakuwa upande wa watu wa Yuda