Nehemiah 4:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao adui zetu wakawa wanasema, “Hawataweza kujua wala kuona, hadi tutakapofika kwao na kuwaua na kusimamisha kazi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia adui zetu walisema, “Kabla hawajajua au kutuona, tutakuwa pale kati yao, na tutawaua na kuikomesha hiyo kazi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao adui zetu wakasema, Hawatajua wala kuona, hata tutakapokuja kati yao, na kuwaua, na kuikomesha kazi hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao adui zetu wakawa wanasema, “Hawataweza kujua wala kuona, hadi tutakapofika kwao na kuwaua na kusimamisha kazi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia adui zetu walisema, “Kabla hawajajua au kutuona, tutakuwa pale pale katikati yao na tutawaua na kuikomesha hiyo kazi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia adui zetu walisema, “Kabla hawajajua au kutuona, tutakuwa palepale katikati yao, na tutawaua na kuikomesha hiyo kazi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao adui zetu wakasema, Hawatajua wala kuona, hadi tutakapokuja kati yao, na kuwaua, na kuikomesha kazi hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao adui zetu wakawa wanasema, “Hawataweza kujua wala kuona, hadi tutakapofika kwao na kuwaua na kusimamisha kazi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wapingani wetu wakasema: Wasijue, wala wasituone, mpaka tutokee katikati yao na kuwaua, wazikomeshe kazi zao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao adui zetu wakasema, Hawatajua wala kuona, hata tutakapokuja kati yao, na kuwaua, na kuikomesha kazi hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
waliokuwa wanajenga ukuta. Hata wale waliokuwa wanabeba vifaa vya ujenzi wakaendelea na kazi mukono mumoja ukiwa na vifaa vya ujenzi na mukono mwingine silaha yake.