Nehemiah 4:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadui waliposikia kwamba njama zao tumezigundua na kuwa Mungu amevuruga njama hizo, ndipo sisi sote tulipourudia ukuta, kila mmoja akaendelea na kazi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adui zetu waliposikia kwamba tumetambua hila yao, na kwamba Mungu ameivuruga hila hiyo, sote tulirudi kwenye ukuta, kila mmoja kwenye kazi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha ikawa, adui zetu waliposikia ya kuwa tumekwisha kupata habari, na ya kuwa Mungu amelibatilisha shauri lao, ndipo sisi sote tukarudi ukutani, kila mtu kwa kazi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadui waliposikia kwamba njama zao tumezigundua na kuwa Mungu amevuruga njama hizo, ndipo sisi sote tulipourudia ukuta, kila mmoja akaendelea na kazi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adui zetu waliposikia kwamba tumetambua hila yao na kwamba Mungu amevuruga shauri lao, sote tulirudi kwenye ukuta, kila mmoja kwenye kazi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adui zetu waliposikia kwamba tumetambua hila yao, na kwamba Mungu amevuruga shauri lao, sote tulirudi kwenye ukuta, kila mmoja kwenye kazi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha ikawa, adui zetu waliposikia ya kuwa tumekwisha kupata habari, na ya kuwa Mungu amelibatilisha shauri lao, ndipo sisi sote tukarudi ukutani, kila mtu kwa kazi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadui waliposikia kwamba njama zao tumezigundua na kuwa Mungu amevuruga njama hizo, ndipo sisi sote tulipourudia ukuta, kila mmoja akaendelea na kazi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Adui zetu walipokwisha kusikia, ya kuwa tumeyajua mambo yao, ya kuwa Mungu amelivunja shauri lao, basi, sisi tukarudi sote kwenye boma kila mtu kwa kazi yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha ikawa, adui zetu waliposikia ya kuwa tumekwisha kupata habari, na ya kuwa Mungu amelibatilisha shauri lao, ndipo sisi sote tukarudi ukutani, kila mtu kwa kazi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, tukaendelea kufanya kazi yetu na nusu ya watu wakishika silaha tangu mapambazuko mpaka nyota zinapoonekana mbinguni.