Nehemiah 4:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tokea siku hiyo na kuendelea, nusu ya watumishi wangu wakawa wanaendelea na ujenzi ambapo nusu nyingine ikawa inashika ulinzi wakiwa na mikuki, ngao, pinde na mavazi ya kukinga kifua. Viongozi wetu wakawa upande wa watu wa Yuda
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuanzia siku ile na kuendelea, nusu ya watu wangu walifanya kazi ya ujenzi, na nusu nyingine wakashika mikuki, ngao, pinde na dirii. Maafisa walijipanga nyuma ya watu wote wa Yuda
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa tokea wakati huo, nusu ya watumishi wangu walitumika katika kazi hiyo, na nusu yao wakaishika mikuki, na ngao, na pinde, na darii; na maakida walikuwa nyuma ya nyumba yote ya Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tokea siku hiyo na kuendelea, nusu ya watumishi wangu wakawa wanaendelea na ujenzi ambapo nusu nyingine ikawa inashika ulinzi wakiwa na mikuki, ngao, pinde na mavazi ya kukinga kifua. Viongozi wetu wakawa upande wa watu wa Yuda
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuanzia siku ile na kuendelea, nusu ya watu wangu walifanya kazi ya ujenzi na nusu nyingine wakashika mikuki, ngao, pindi na kinga ya kifuani. Maafisa walijipanga nyuma ya watu wote wa Yuda
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuanzia siku ile na kuendelea, nusu ya watu wangu walifanya kazi ya ujenzi, na nusu nyingine wakashika mikuki, ngao, pinde na dirii. Maafisa walijipanga nyuma ya watu wote wa Yuda
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa tokea wakati huo, nusu ya watumishi wangu walitumika katika kazi hiyo, na nusu yao wakaishika mikuki, na ngao, na pinde, na darii; na viongozi walikuwa nyuma ya nyumba yote ya Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tokea siku hiyo na kuendelea, nusu ya watumishi wangu wakawa wanaendelea na ujenzi ambapo nusu nyingine ikawa inashika ulinzi wakiwa na mikuki, ngao, pinde na mavazi ya kukinga kifua. Viongozi wetu wakawa upande wa watu wa Yuda
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tangu siku hiyo waliofanya kazi walikuwa nusu tu ya vijana wangu, nusu yao wengine walishika mikuki na ngao na pindi na shati zao za vyuma, nao wakuu wakawasimamia watu wote wa mlango wa Yuda,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa tokea wakati huo, nusu ya watumishi wangu walitumika katika kazi hiyo, na nusu yao wakaishika mikuki, na ngao, na pinde, na darii; na maakida walikuwa nyuma ya nyumba yote ya Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule nikawaambia watu: “Kila mwanaume na mutumishi wake atakaa katika Yerusalema usiku, kusudi tukuwe na ulinzi usiku, na wakati wa muchana wataendelea na kazi.”