Nehemiah 4:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
waliokuwa wanaujenga ukuta. Hata wale waliokuwa wanabeba vifaa vya ujenzi waliendelea na kazi huku mkono mmoja ukiwa na vifaa vya ujenzi na mkono mwingine silaha yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
waliokuwa wakijenga ukuta. Wale waliobeba vifaa vya ujenzi walifanya kazi yao kwa mkono mmoja, na kushika silaha kwa mkono mwingine,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wale walioujenga ukuta, na wale waliochukua mizigo, walijitweka wenyewe, kila mtu alifanya kazi kwa mkono mmoja, na kwa mkono wake wa pili alishika silaha yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
waliokuwa wanaujenga ukuta. Hata wale waliokuwa wanabeba vifaa vya ujenzi waliendelea na kazi huku mkono mmoja ukiwa na vifaa vya ujenzi na mkono mwingine silaha yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
waliokuwa wakijenga ukuta. Wale waliobeba vifaa vya ujenzi walifanya kazi yao kwa mkono mmoja na kushika silaha kwa mkono mwingine,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
waliokuwa wakijenga ukuta. Wale waliobeba vifaa vya ujenzi walifanya kazi yao kwa mkono mmoja, na kushika silaha kwa mkono mwingine,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wale walioujenga ukuta, na wale waliochukua mizigo, walijitweka wenyewe, kila mtu alifanya kazi kwa mkono mmoja, na kwa mkono wake wa pili alishika silaha yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
waliokuwa wanaujenga ukuta. Hata wale waliokuwa wanabeba vifaa vya ujenzi waliendelea na kazi huku mkono mmoja ukiwa na vifaa vya ujenzi na mkono mwingine silaha yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
waliolijenga boma. Lakini wachukuzi waliopagaa mizigo kwa mkono mmoja wakafanya kazi, kwa mkono mwingine wakashika mata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wale walioujenga ukuta, na wale waliochukua mizigo, walijitweka wenyewe, kila mtu alifanya kazi kwa mkono mmoja, na kwa mkono wake wa pili alishika silaha yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo ikakuwa mimi, wandugu zangu, watumishi wangu hata na walinzi waliofuatana nami, hatukuvua nguo zetu; kila mumoja wetu akakuwa na silaha yake katika mukono siku zote.