Nehemiah 4:18 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mwashi alikuwa na panga lake limefungwa kiunoni mwake na huku anaendelea kujenga. Na mtu wa kupiga tarumbeta alikuwa karibu nami.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kila mjenzi alijifunga upanga wake upande mmoja akiwa anafanya kazi. Lakini mtu wa kupiga baragumu alikaa pamoja nami.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao wajenzi, kila mtu alikuwa na upanga wake, umefungwa ubavuni mwake, ndivyo alivyojenga. Na yeye aliyepiga baragumu alikuwa karibu na mimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mwashi alikuwa na panga lake limefungwa kiunoni mwake na huku anaendelea kujenga. Na mtu wa kupiga tarumbeta alikuwa karibu nami.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kila mjenzi alijifunga upanga wake upande mmoja akiwa anafanya kazi. Lakini mtu wa kupiga baragumu alikaa pamoja nami.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kila mjenzi alijifunga upanga wake upande mmoja akiwa anafanya kazi. Lakini mtu wa kupiga baragumu alikaa pamoja nami.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao wajenzi, kila mtu alikuwa na upanga wake, umefungwa ubavuni mwake, ndivyo alivyojenga. Na yeye aliyepiga baragumu alikuwa karibu na mimi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mwashi alikuwa na panga lake limefungwa kiunoni mwake na huku anaendelea kujenga. Na mtu wa kupiga tarumbeta alikuwa karibu nami.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliojenga kila mtu akawa amejifunga upanga wake kiunoni pake, naye mpiga baragumu akawa amesimama kando yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)