Nehemiah 4:20 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukiwa mahali popote unapofanya kazi, mara utakaposikia tarumbeta, kimbilia kwetu. Mungu wetu atatupigania.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Popote mtakaposikia sauti ya baragumu, jiungeni nasi huko. Mungu wetu atatupigania!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi mahali po pote mtakaposikia sauti ya baragumu, enendeni huko, mkatujie; Mungu wetu atatupigania.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukiwa mahali popote unapofanya kazi, mara utakaposikia tarumbeta, kimbilia kwetu. Mungu wetu atatupigania.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Po pote mtakaposikia sauti ya baragumu, jiungeni nasi huko. Mungu wetu atatupigania!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Popote mtakaposikia sauti ya baragumu, jiungeni nasi huko. Mungu wetu atatupigania!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi mahali popote mtakaposikia sauti ya baragumu, kimbilieni kwetu; Mungu wetu atatupigania.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukiwa mahali popote unapofanya kazi, mara utakaposikia tarumbeta, kimbilia kwetu. Mungu wetu atatupigania.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa hiyo hapo, mtakaposikia, baragumu likilia mahali, paendeeni, mkusanyike kwetu sisi! Naye Mungu wetu atatupigia vita hivi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi mahali po pote mtakaposikia sauti ya baragumu, enendeni huko, mkatujie; Mungu wetu atatupigania.