Nehemiah 4:22 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo nikawaambia watu, “Kila mwanamume na mtumishi wake atakaa mjini Yerusalemu usiku, ili tuwe na ulinzi usiku, na wakati wa mchana wataendelea na kazi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo pia niliwaambia watu, “Kila mtu na msaidizi wake wakae ndani ya Yerusalemu wakati wa usiku, ili waweze kutumika kama walinzi wakati wa usiku, na kufanya kazi wakati wa mchana.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kadhalika, wakati ule ule, nikawaambia watu, Kila mtu na akae ndani ya Yerusalemu pamoja na mtumishi wake, wapate kuwa walinzi wetu wakati wa usiku, na kufanya kazi wakati wa mchana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo nikawaambia watu, “Kila mwanamume na mtumishi wake atakaa mjini Yerusalemu usiku, ili tuwe na ulinzi usiku, na wakati wa mchana wataendelea na kazi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo pia niliwaambia watu, “Kila mtu na msaidizi wake wakae ndani ya Yerusalemu wakati wa usiku, ili waweze kutumika kama walinzi wakati wa usiku na kufanya kazi wakati wa mchana.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo pia niliwaambia watu, “Kila mtu na msaidizi wake wakae ndani ya Yerusalemu wakati wa usiku, ili waweze kutumika kama walinzi wakati wa usiku, na kufanya kazi wakati wa mchana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kadhalika, wakati ule ule, nikawaambia watu, Kila mtu na akae ndani ya Yerusalemu pamoja na mtumishi wake, wapate kuwa walinzi wetu wakati wa usiku, na kufanya kazi wakati wa mchana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo nikawaambia watu, “Kila mwanamume na mtumishi wake atakaa mjini Yerusalemu usiku, ili tuwe na ulinzi usiku, na wakati wa mchana wataendelea na kazi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ndipo, nilipowaambia watu: Kila mtu na kijana wake sharti walale humu Yerusalemu, na usiku wawe walinzi, tena mchana wafanye kazi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)