Nehemiah 4:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tobia, Mwamoni, aliyekuwa akisimama karibu naye, alitilia mkazo akisema, “Wanajenga nini? Mbweha akipanda juu yake, atabomoa huo ukuta wao wa mawe!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tobia Mwamoni aliyekuwa upande wake akasema, “Wanachokijenga, hata kama mbweha angepanda juu yake, huo ukuta wao wa mawe angeubomoa!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Tobia, Mwamoni, alikuwa karibu naye, akasema, Hata hiki wanachokijenga, angepanda mbweha, angeubomoa ukuta wao wa mawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tobia, Mwamoni, aliyekuwa akisimama karibu naye, alitilia mkazo akisema, “Wanajenga nini? Mbweha akipanda juu yake, atabomoa huo ukuta wao wa mawe!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tobia Mwamoni, aliyekuwa upande wake akasema, “Wanachokijenga, hata kama mbweha angepanda juu yake, huo ukuta wao wa mawe angelibomoa!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tobia Mwamoni aliyekuwa upande wake akasema, “Wanachokijenga, hata kama mbweha angepanda juu yake, huo ukuta wao wa mawe angeliubomoa!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Tobia, Mwamoni, alikuwa karibu naye, akasema, Hata hiki wanachokijenga, angepanda mbweha, angeubomoa ukuta wao wa mawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tobia, Mwamoni, aliyekuwa akisimama karibu naye, alitilia mkazo akisema, “Wanajenga nini? Mbweha akipanda juu yake, atabomoa huo ukuta wao wa mawe!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baadaye Mwamoni Tobia aliyesimama kando yake akasema: Yo yote, watakayoyajenga, kama mbwa wa mwitu tu atayapandia, atayatawanya mawe ya boma lao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Tobia, Mwamoni, alikuwa karibu naye, akasema, Hata hiki wanachokijenga, angepanda mbweha, angeubomoa ukuta wao wa mawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu tukamwomba Mungu wetu na kuweka ulinzi juu yao, muchana na usiku.