Nehemiah 4:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kamwe usiwasamehe hatia yao, wala dhambi yao kamwe usiisamehe; kwani wamekukasirisha mbele ya wajenzi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiusitiri uovu wao, wala usifute dhambi zao mbele zako, kwa kuwa wamewatukana wajenzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala usiusitiri uovu wao, wala isifutwe dhambi yao, mbele zako; kwa maana wamekukasirisha mbele ya hao wanaojenga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kamwe usiwasamehe hatia yao, wala dhambi yao kamwe usiisamehe; kwani wamekukasirisha mbele ya wajenzi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiusitiri uovu wao wala usifute dhambi zao mbele zako, kwa kuwa wamewatukana wajenzi mbele ya macho yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiusitiri uovu wao, wala usifute dhambi zao mbele zako, kwa kuwa wamewatukana wajenzi mbele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala usiusitiri uovu wao, wala isifutwe dhambi yao, mbele zako; kwa maana wamekukasirisha mbele ya hao wanaojenga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kamwe usiwasamehe hatia yao, wala dhambi yao kamwe usiisamehe; kwani wamekukasirisha mbele ya wajenzi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala usizifunike manza zao, walizozikora, wala makosa yao yasifutwe usoni pako! Kwani mbele yao hawa wanaojenga wamesema maneno ya kukasirisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala usiusitiri uovu wao, wala isifutwe dhambi yao, mbele zako; kwa maana wamekukasirisha mbele ya hao wanaojenga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao waadui zetu wakakuwa wanasema: “Hawataweza kujua wala kuona, mpaka tutakapokuwa kati yao; tutawaua na kusimamisha kazi.”