Nehemiah 4:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakala njama kwa pamoja kuja Yerusalemu kutushambulia na hivyo kuleta mvurugano katika mji huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote walifanya shauri pamoja kuja kupigana dhidi ya Yerusalemu, na kuchochea machafuko dhidi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakafanya shauri wote pamoja kuja kupigana na Yerusalemu, na kufanya machafuko humo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakala njama kwa pamoja kuja Yerusalemu kutushambulia na hivyo kuleta mvurugano katika mji huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote walifanya shauri pamoja kuja kupigana dhidi ya Yerusalemu na kuchochea machafuko dhidi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote walifanya shauri pamoja kuja kupigana dhidi ya Yerusalemu, na kuchochea machafuko dhidi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakafanya shauri wote pamoja kuja kupigana na Yerusalemu, na kufanya machafuko humo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakala njama kwa pamoja kuja Yerusalemu kutushambulia na hivyo kuleta mvurugano katika mji huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaapiana wote pamoja kuja Yerusalemu kupigana nao na kuwafanyia matata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakafanya shauri wote pamoja kuja kupigana na Yerusalemu, na kufanya machafuko humo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilipoona kwamba watu walikuwa na hofu nikawaambia wakubwa, wasimamizi na watu wote kwa jumla: “Musiwaogope hata kidogo. Mukumbuke Bwana anayekuwa mukubwa na wa kutisha, basi mupigane kwa ajili ya wandugu zenu, wana wenu, wabinti zenu, wake zenu na nyumba zenu.”