Nehemiah 4:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo tulipomwomba Mungu wetu na kuweka ulinzi dhidi yao, mchana na usiku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini tulimwomba Mungu wetu, na tukaweka ulinzi usiku na mchana kupambana na tishio hili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali sisi tulimwomba dua Mungu wetu, tena tukaweka walinzi, mchana na usiku, kwa sababu yao, ili kuwapinga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo tulipomwomba Mungu wetu na kuweka ulinzi dhidi yao, mchana na usiku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini tulimwomba Mungu wetu na kuweka ulinzi mchana na usiku kupambana na tishio hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini tulimwomba Mungu wetu, na tukaweka ulinzi usiku na mchana kupambana na tishio hili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali sisi tulimwomba dua Mungu wetu, tena tukaweka walinzi, mchana na usiku, kwa sababu yao, ili kuwapinga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo tulipomwomba Mungu wetu na kuweka ulinzi dhidi yao, mchana na usiku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tukamlalamikia Mungu, tukaweka walinzi po pote, wawalindie mchana na usiku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali sisi tulimwomba dua Mungu wetu, tena tukaweka walinzi, mchana na usiku, kwa sababu yao, ili kuwapinga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui waliposikia kwamba tumekwisha kuvumbua mipango yao na kwamba Mungu amevuruga mipango hiyo, ndipo sisi wote tukaurudilia ukuta, kila mumoja akaendelea na kazi yake.