Nehemiah 5:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya muda kulitokea malalamiko miongoni mwa watu, wanaume kwa wanawake, wakiwalalamikia ndugu zao Wayahudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huu wanaume na wake zao wakalia kilio kikuu dhidi ya ndugu zao Wayahudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo kukatokea kilio kikuu cha watu, na wake zao, juu ya ndugu zao Wayahudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya muda kulitokea malalamiko miongoni mwa watu, wanaume kwa wanawake, wakiwalalamikia ndugu zao Wayahudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huu watu na wake zao wakalia kilio kikuu dhidi ya ndugu zao Wayahudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huu wanaume na wake zao wakalia kilio kikuu dhidi ya ndugu zao Wayahudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo kukatokea kilio kikuu cha watu, na wake zao, juu ya ndugu zao Wayahudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya muda kulitokea malalamiko miongoni mwa watu, wanaume kwa wanawake, wakiwalalamikia ndugu zao Wayahudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kukawa na kilio kikubwa cha watu na cha wake zao kwa ajili ya ndugu zao Wayuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo kukatokea kilio kikuu cha watu, na wake zao, juu ya ndugu zao Wayahudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya muda kukatokea malalamiko kati ya watu, wanaume na wanawake, wakiwalalamikia wandugu zao Wayuda.