Nehemiah 5:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilikuwa na juhudi nyingi katika ujenzi mpya wa ukuta huu na kamwe sikujipatia hata shamba. Hata watumishi wangu wote walifanya kazi hii kwa bidii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Badala yake, nilijitoa kwa bidii katika kazi ya ukuta huu. Watu wangu wote walikutanika pale kwa ajili ya kazi. Hatukujipatia shamba lolote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, hata kazi ya ukuta huu tena nikaishika sana, wala hatukununua mashamba; na watumishi wangu wote wakakusanyika huko kazini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilikuwa na juhudi nyingi katika ujenzi mpya wa ukuta huu na kamwe sikujipatia hata shamba. Hata watumishi wangu wote walifanya kazi hii kwa bidii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Badala yake, nilijitoa kwa bidii katika kazi kwenye ukuta huu. Watu wangu wote walikutanika pale kwa ajili ya kazi, hatukujipatia shamba lo lote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Badala yake, nilijitoa kwa bidii katika kazi ya ukuta huu. Watu wangu wote walikutanika pale kwa ajili ya kazi. Hatukujipatia shamba lolote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, hata kazi ya ukuta huu tena nikaishika sana, wala hatukujipatia mashamba; na watumishi wangu wote wakakusanyika huko kazini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilikuwa na juhudi nyingi katika ujenzi mpya wa ukuta huu na kamwe sikujipatia hata shamba. Hata watumishi wangu wote walifanya kazi hii kwa bidii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata katika hili jengo la boma nilifanya kazi, lakini hatukununua shamba la watu, nao vijana wangu walikuwa wamekusanywa hapo penye jengo hilo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, hata kazi ya ukuta huu tena nikaishika sana, wala hatukununua mashamba; na watumishi wangu wote wakakusanyika huko kazini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilikuwa na juhudi nyingi katika ujenzi mupya wa ukuta huu na sikujipatia hata shamba. Hata watumishi wangu wote walifanya kazi hii kwa bidii.